+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

MAMA MIA'S STATIONERIES

TUNAUZA STATIONERIES.

UKITAKA ZA AINA TOFAUTI UNAAGIZA UNALETEWA ULIPO.

 

Namba za Simu: +255765658595

Sort by
Display per page

BUSINESS CARD PRINTING

Karibu MAMA MIA'S STATIONERIES uweze kujipatia offer nzuri ya kuprint kadi zako za biashara yaan (Business Card) kwa bei ya Tsh. 10,000 tu utapata "100pc za Business Card"... Njoo na design yako na sisi tutakuprintia kwa ubora wa hali ya juu.
10,000.00 (TZS)

JISAJILI BRELA

Kwanini usumbuke kuhangaika kuzunguka na kupanga foleni kusajili biashara ama kampuni yako!!??... Njoo kwetu tukusaidie kufanya yote hayo kwaajili yako na kukukabidhi leseni yako pasipo ya wewe kusumbuka na kuzunguka. Wasiliana nasi tukusaidie kusajili toka BRELA TZ.. Gharama zetu ni elf 30,000 tuu ila malipo ya serikali utalipia mwenyewe.
30,000.00 (TZS)

LOGO DESIGN

MAMA MIA'S STATIONERIES tupom kwaajili ya kukusaidia biashara yako iweze kuwa na muonekano kwa kukusaidia kudesign LOGO ya biashara ama kampuni yako kwa ubora wa hali ya juu na yenye kuvutia na kuelezea kampuni, kwa Tsh. 50,000/= tuu. tunakutengenezea kwa muonekano uupendao na wa kupendezesha ofisi ama biashara yako.
50,000.00 (TZS)

Logo Package (Design Only) - BRONZE

Files: logo designing, letterhead design, business cards design and ID card design
70,000.00 (TZS)

Mshika Mawili, Yote Yake (Hard Copy)

Mshika Mawili Yote Yake ni kitabu Cha hamasa kilichoandikwa na mwandishi Neema Philberth ,ndani ya kitabu hiki zimeelezwa mbinu mbalimbali ambazo zitaweza kukusaidia wewe mpenda maendeleo katika kuongeza kipato chako kwa njia rahisi kabisa . Je unataka kuwa mmoja ya watu waliofanikiwa wakiwa na umri mdogo ,basi majibu yote yapo ndani ya kitabu Cha Mshika Mawili Yote Yake ambapo utafahamu namna ya kushika hayo Mawili na yasikuponyoke.
10,000.00 (TZS)

OFFICE STATIONERIES

Kwa Tsh. 300,000 tuu unapata package ya Stationeries yenye: ALBA RADO BOX FILE KUBWA = 5 SPRING FILE = 5 NOTE BOOK = 4 PAPER CLIPS SMALL 10IN BOX = 1 PAPER CLIPS MEDIUM10IN BOX = 1 LEGAL PAPER GREEN = 2 BLACK PENS BOX = 1 BLUE PENS BOX = 1 BAHASHA A4 100 PCS = 1 BAHASHA A5 100 PCS = 1 BAHASHA A6 100 PCS = 1 PENCILS BOX = 2 STICK NOTES KUBWA 12 PCS = 1 SIGN HERE STICKY NOTES 12 PCS = 1 CORRECTION FLUID 12 PCS = 1 WHITE PAPER BOX = 1
300,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved