+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

JUMUIYA YA WAZALISHAJI MBOGAMBOGA NA MATUNDA (UWAMWIMA)

TUNAHUSIKA NA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA ZANZIBAR

 

Tunafundisha kilimo cha kisasa na bora zaidi cha uzalishaji wa mbogamboga na matunda.

 

Karibu sana uweze kujifunza kilimo na kuwa kati ya wazalishaji mahiri wa mbogamboga na matunda kwa karne ya sasa.

 

TUPIGIE KWA MAELEZO ZAIDI

 0773135453

uwamwima0@yahoo.com

 

Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved