+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Products tagged with 'vyombo'

Sort by

Dinner plates (6 Pc)

Chakula bora hutunzwa kwenye vyombo bora! Nunua sasa seti ya sahani za kisasa kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 45,000/= tu for 6 plates or 12 pltes kwa bei ya punguzo ya Tshs. 80,000/= tu.
45,000.00 (TZS)

Food container

Get your own classic food container !!! Purchase a large quality food container kwa bei ya poa ya Tshs. 10,000/= tu kwa utunzaji na ubebeaji wa vyakula vya aina mbalimbali kama mboga mboga,matunda na vinginevyo.
10,000.00 (TZS)

Food container set

Get your own classic food container set !!! Jipatie containers quality yaani mabakuli ya size mbalimbali na mifuniko yake kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa utnzaji au ubebeaji wa chakula kwa bei poa ya Tsh. 35,000/= tu.
35,000.00 (TZS)

Heavy non-stick Pots

Chakula bora hutunzwa kwenye vyombo bora! Nunua sasa Heavy non-stick pot set ya kisasa kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 200,000/= tu.Set moja ina hot pots 5.
200,000.00 (TZS)

Hot pot set

Get your own hot pot set !!! Jipatie hot pots quality zenye uwezo mkubwa wa kutunza vakula visipoe haraka kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 130,000/= tu.Seti moja ina hot pots 4.
130,000.00 (TZS)

knife set

Get these brand new knives in one set kwa bei ya Tshs. 75,000/= tu kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani kwako na familia yako.
75,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved