+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

MAMA MIA'S STATIONERIES

TUNAUZA STATIONERIES.

UKITAKA ZA AINA TOFAUTI UNAAGIZA UNALETEWA ULIPO.

 

Namba za Simu: +255765658595

Sort by
Display per page

OFFICE STATIONERIES

Kwa Tsh. 200,000/= tuu unapata package ya Stationeries yenye: LEGAL PAPER GREEN = 2 BLACK PENS BOX = 1 BLUE PENS BOX = 1 BAHASHA A4 100 PCS = 1 BAHASHA A5 100 PCS = 1 BAHASHA A6 100 PCS = 1 PENCILS BOX = 2 STICK NOTES KUBWA 12 PCS = 1 SIGN HERE STICKY NOTES 12 PCS = 1 WHITE PAPER BOX = 1
200,000.00 (TZS)

OFFICE STATIONERIES DOGO DOGO

Kwa Tsh. 100,000/= tuu unapata package ya Stationeries yenye: BLUE PENS BOX = 1 BAHASHA A4 100 PCS = 1 BAHASHA A5 100 PCS = 1 PENCILS BOX = 2 STICK NOTES KUBWA 12 PCS = 1 SIGN HERE STICKY NOTES 12 PCS = 1
100,000.00 (TZS)

SAJILI KAMPUNI NA MAMA MIA TOKA BRELA

JISAJILI BRELA Kwanini usumbuke kuzunguka na kupanga foleni kusajili kampuni yako!!??... Njoo kwetu tukusaidie kufanya yote hayo kwaajili yako na kukukabidhi leseni yako pasipo ya wewe kusumbuka na kuzunguka. Wasiliana nasi tukusaidie kusajili toka BRELA TZ.. Gharama zetu ni 500,000 tuu ila malipo ya serikali utalipia mwenyewe.
500,000.00 (TZS)

TABLE TOP CALENDAR

Karibu MAMA MIA'S STATIONERIES uweze kujipatia offer nzuri ya kuprint Kalenda yako ya ofisini yaan (Table Top Calendar) kwa bei ya Tsh. 15,000 tu utapata... Njoo na design yako na sisi tutakuprintia kwa ubora wa hali ya juu.
15,000.00 (TZS)

YEARLY WALL CALENDAR DESIGNING

Karibu tukusaidie kudesign kalenda yako ya mwaka ya ukutani, ikiwa na muoneka tofauti wa kama wallpaper ikiwa na sehemu ya kuweka notes za weekly ama mwezi. kwa sh. 10,000/= tuu tunakutengenezea kwa muonekano uupendao na wa kupendezesha ofisi ama nyumba yako.
10,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved