WALI MANDONDO PACKAGE
Jipatie kifurushi chenye mahanjumati ya kila namna ndani yake kwa bei nafuu ya 100000/= Tshs. tu ambapo ndani yake kutakuwa na vyakula kemkem kama:
- Mchele 5 kg
- Maharage 2 kg
- Nazi 5 pkt
- Chumvi 1 pkt
- Vitunguu maji 1 kg
- Karoti 1 kg
- Hoho 1 kg
- Pilipili mwendokasi 1 fungu
- Pilipili chupa 1 chupa
- Kabeji 1 pcs
- Ndizi Mbivu 10 pcs
- Parachichi 2 pcs
- Nyanya 1 sado
- Tango 4 pcs
- Limao 5 pcs
- Mchicha 4 fungu
- Embe 4 pcs
- Nanasi 1
- Sundrop 3 Ltr
" Live your life at extreems! "