+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

GENGESAFI GROCERIES

Wauzaji na wasambazi wa viungo na mboga mboga fresh kutoka shamba.

Tunauza viungio kama

  • nyanya, vitunguu, karoti, hoho, pili pili, tangawizi bamia,
  • mboga za majani za aina zote,
  • matunda  na vingine vingi.

Weka oda yako tukifishie ulipo.

Tunapatikana Katesh - Hanang

Simu : +255 658 909 732

Barua pepe: mariarenatus176@gmail.com

 

Sort by
Display per page

Pilipili hoho kwa sado

Pilipili hoho kubwa nzuri za Kijani
8,000.00 (TZS)

Vitunguu kwa fungu

Vitunguu vikubwa kwa fungu moja vinakuwa vinne
1,000.00 (TZS)

Vitunguu kwa kilo

Vitunguu vizuri,vikubwa havina majimaji ukivitaka hauumii macho na vimekauka vizuri kabisa
6,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved